1/8
Kangeta Kilimo screenshot 0
Kangeta Kilimo screenshot 1
Kangeta Kilimo screenshot 2
Kangeta Kilimo screenshot 3
Kangeta Kilimo screenshot 4
Kangeta Kilimo screenshot 5
Kangeta Kilimo screenshot 6
Kangeta Kilimo screenshot 7
Kangeta Kilimo Icon

Kangeta Kilimo

Kangeta Kilimo
Trustable Ranking Icon인증완료
1K+다운로드
16MB크기
Android Version Icon4.0.3 - 4.0.4+
안드로이드 버전
1.0.1(22-06-2020)최신 버전
-
(0 리뷰)
Age ratingPEGI-3
다운로드
세부 정보리뷰버전정보
1/8

Kangeta Kilimo의 설명

Ni mtandao wa kilimo unaotumia malighafi za kilimo na masoko yaliyopo Tanzania na Africa kwa jumla ikiwa imelenga wakulima wadogo wa kati na wakubwa katika kuwapatia njia bora za kilimo na technologia.


Kangetakilimo inawawezesha na kuwapa uwezo wakulima wadogowadogo kwa kutumia technologia katika kilimo kwa mlengo wa kulima kibiashara.


Kutokana na changamoto za kilimo na uhaba wa wataalam wa kilimo Tumeamua kuanzisha chombo kangeta kilimo ambacho kitakuwa kinawaunganisha wakulima,wafugaji na wataalam wa kilimo kwa urahisi hata ukiwa mbali kiasi gani kupitia simu zao za mikononi


- kumsaidia mkulima kutatua tatizo la visumbufu vya mazao na mifugo kama magonjwa na wadudu waharibifu kwa urahisi na uharaka kwa kutuma picha au ujumbe kisha utapatiwa majibu haraka .

- Kumsaidia mkulima kuweza kupata masoko ya mazao yake kwa urahisi na kupitia simu yake.

- Kumsaidia mkulima kufahamu mbegu bora ,mbolea,viwatilifu ,visumbufu vya mazao,vinyunyizi kwa kutumia simu yake


2 MATARAJIO


- mkulima atapata taarifa za magonjwa na visumbufu vya mazao kutoka kwa kangetakilimo app anachotakiwa ni kutuma picha ya zao lililoathiriwa au ya mdudu anayeharibu mazao pia hata kwa kutoa Maelezo kwa maandishi tu


- pia taarifa za masoko zitapatikana kwa wakulima kupitia mfumo nilioutaja hapo juu.

Changamoto


Ulimwengu umefanya juhudi kubwa kupunguza umasikini. Mwaka 1990 asilimia 43% ya idadi ya watu katika nchi zinazo endelea wanaishi chini ya dola 1 kwa siku. Mnamo mwaka 2010 idadi hiyo ilipungua kwa nusu na kufikia asilimia 21.

Ingawa bado kuna idadi ya watu wafikao milioni 900 ulimwenguni ni wastani wa asilimia 70% ya idadi hiyo wanaishi vijijini, wengi wao bado wanafanya kilimo kwa ajili ya kula tu ili waweze kuishi.

Kangetakilimo imeona biashara ni njia nzuri ya kuondoa umasikini ambayo kila mtu anaweza kuishi na kuwa na hakiba. Kuinua kilimo ni njia muhimu katika kufikia malengo.

Fursa

Ingawa fursa ni nyingi ulimwenguni, asilimia 60% ya watu masikini ulimwenguni wanaishi Africa . Kiasi kikubwa cha ardhi ambayo haitumiki inapatikana Africa.

Wakati huo huo matazamio ni kwa idadi ya watu Africa ambayo inatalajiwa kuongezeka mara mbili ya billion mbili ifikapo mwaka 2050 . Ardhi na wafanyakazi vinapatikana . Changamoto moja itakuwa ni kutumia malighafi hii kufikia mahitaji yanayokua ya chakula .

Suluhisho linabaki katika kuongeza uwezo wa uzalishaji wa kilimo kulingana na UNFAO. Africa inauwezo wa uzalishaji asilimia 24, America ya kati asilimia 35, na Asia ya kati asilimia 36. Ulimwengu umeoa kuna fulsa kubwa ya kilimo Africa.

Mapinduzi ya kilimo Africa yameendelea lakini mapinduzi haya ya kilimo yanajumuisha na kuwafaidisha masikini wanaoishi vijijini na mipakani mwa Africa.

Mnyororo wa thamani

Wakulima wa vijijini wa Africa na nchi zinazoendelea wanapaswa kuwa ni moja ya sehemu ya suluhisho katika kuongeza uzalishaji na kuondoa umasikini vijijini. Kuna mitandao ya wakulima kulasa za facebook,twitter na istagram, makundi ya watsapp kwa ajili ya wakulima kupata elimu na huduma kupitia kangetakilimo baada ya kuwa mwanachama na kuendelea kupata huduma bure.

Kutakuwa na mtandao wa kanda utakaoongozwa na wajasiliamali wadogowadogo na wazalisha ajira mbalimbali katika ngazi ya jamii.

Tunahamasisha kubolesha maisha ya watu katika Nyanja zifuatazo;

• Afya

• Maji safi

• Maswala ya fedha

• Elimu

• Msaada wa kitaalamu

• Kujitambua/ kufahamu jambo

• Kujua jinsi ya kuanzisha jambo

• Kukuza uchumi.


Kangeta Kilimo - 버전 1.0.1

(22-06-2020)
다른 버전들

아직 평가나 리뷰가 없습니다! 첫 번째로 남겨 보세요

-
0 Reviews
5
4
3
2
1
Info Trust Icon
좋은 앱임을 보장합니다이 어플리케이션은 바이러스,멀웨어와 기타 악의적인 공격에 대한 보안 시험을 통과하였으며 어떠한 위험요소도 포함되어 있지 않습니다.

Kangeta Kilimo - APK 정보

APK 버전: 1.0.1패키지: com.app.kangetakilimo
안드로이드 호환: 4.0.3 - 4.0.4+ (Ice Cream Sandwich)
개발자:Kangeta Kilimo개인정보보호정책:http://kangetakilimo.co.tz/kangetakilimo/privacy.html권한:12
이름: Kangeta Kilimo크기: 16 MB다운로드: 6버전 : 1.0.1출시 날짜: 2022-12-25 12:33:37최소 스크린: SMALL지원되는 CPU: x86, x86-64, armeabi, armeabi-v7a, arm64-v8a, mips, mips64
패키지 ID: com.app.kangetakilimoSHA1 서명: F4:33:DC:3B:77:D5:DE:5D:BD:78:C7:FE:71:A2:63:B1:5A:2F:F5:6D개발자 (CN): Joseph Mulagwanda단체 (O): Develop ICT Company로컬 (L): Dar es salaam나라 (C): TZ주/시 (ST): Tanzania

Kangeta Kilimo의 최신 버전

1.0.1Trust Icon Versions
22/6/2020
6 다운로드16 MB 크기
다운로드
appcoins-gift
AppCoins GamesWin even more rewards!
더 보기

동일 카테고리의 앱

좋아할 만한 것...